Diamond Platinumz "Wasanii wa kike wanapigwa sana"

Diamond Platinumz "Wasanii wa kike wanapigwa sana"




Diamond anasema hataki mwanae wa kike awe msanii kwasababu wasanii wa kike wanapigwa sana na yeye amepiga wengi sana kwasababu ya status yake.


Anasema sahiv yeye ametulia na anampenda mke wake (zari) na anayetaka kuwa msanii ni mwanae wa kiume (NILAN).           

Bofya hapa kumsikiliza.

 Uliikosa hii ebu chek hapa. 




share this article to: Facebook Twitter Google+ Linkedin Technorati Digg
Posted by Slaustz, Published at May 29, 2017 and have 0 comments

No comments:

Post a Comment

close