North Korea leo 29 May, 2017 wamefanya majaribio ya kurusha kombora.

North Korea leo 29 May, 2017 wamefanya majaribio ya kurusha kombora.

 North Korea leo 29 May, 2017 wamefanya majaribio ya kurusha kombora sampuli ya Skadi ambalo limesafiri km 450 na kutua baharini kati ya Korea na Japan. Japani wamelalamikia zaidi na kusema jaribio la sasa ni tatizo zaidi ktk usalama wa usafiri wa majini na angani.
Na Haya ndio maneno aliyosema waziri Mkuu wa japani baada ya jaribio hilo kufanywa.


"Japan's Prime Minister Shinzo Abe says his country will join the United States in taking concrete action against North Korea after its latest ballistic missile test".

South Korean hivi ndivyo walivyo kuwa wakiangalia north Korea wanavyofanya jaribio hilo.

Prepared by
                      slaustz.


share this article to: Facebook Twitter Google+ Linkedin Technorati Digg
Posted by Slaustz, Published at May 29, 2017 and have 0 comments

No comments:

Post a Comment

close