New hit, Dreamer TsT- Usiniongelee

New hit, Dreamer TsT- Usiniongelee


Naitwa Paul Juma Mariba 
Nimezaliwa katika familia ya Mzee Paul Mariba nikiwa Mtoto Wa tano katika familia ya watoto watano katika Uzao wa BI Evalyne Paul na Mzee Paul Mariba,


Katika Maisha nimepata kujifunza vitu vingi sana Nje ya Masomo ya Darasani na Elimu ya Jamii (elimu mitaa) 
Nilianza kutamani na kupata shauku ya kuimba kuanzia Mwaka 2006 nikiwa Darasa la Nne ila kwa sababu ya akili za utoto na hali ya mazingira nilikuwa nikiishi sikupata Mtu yeyote aliweza kuthamini.
Siku zote hakuna safari isiyokuwa na vikwazo nawapenda wote Mnathamini Kazi zangu Dreamer TsT.
Shukrani kwako kaka Matico Paul (Lux Bizzo) kwa kutia mkono wako ili kuhakikisha mdogo wako ninafikia malengo yangu ama hakika nauthamini mchango wako na ninakupenda sana pia ninaheshimu kila unachoweza kunishauri.

Kwa Mama Dreamer Music nitakuwa Mchoyo wa Fadhira nisipo Mpongeza Mama yangu Mzazi Mama EValine Paul Kwa malezi bora ulionipatia na kunithamini pia.

Ujumbe Kwa mama Dreamer Mziki "Kila hatua nipigayo namtanguliza mungu kwa kuwa ndie mgawaji wa Pumzi pili ninakumbuka busara zako Mama yangu na maneno yako ambayo hayaishi kupita akilini mwangu hasa pale ninapofikia hatua ya kukata tamaa.

Kwa mashabiki wa Dreamer Music, Mawapendani sana Thamini Mziki mzuri katika mda mzuri  na mahara pazuri usichoke kurequest nyimbo yangu katika redio Ilove you all.

Download/Pakua na sikiliza ngoma yangu hii hapo chini kwa kubofya Hapa


Song: Dreamer TsT- Usiniongelee
Producer:  Samchard Dreamer TsT Ft Ainea
Label: Sazzi record



share this article to: Facebook Twitter Google+ Linkedin Technorati Digg
Posted by Slaustz, Published at June 18, 2017 and have 0 comments

No comments:

Post a Comment

close