Abdul kiba Follows brother footsteps.

Abdul kiba Follows brother footsteps.




Ikiwa siku chache zimepita tangu kufunga ndoa kwa msanii mkubwa Duniani Alikiba, mdogo wake pia anaejulikana kama Abdul Kiba ameamua kufuata nyayo za kaka yake kwa kukamilisha jambo hilo siku ya jumapili tarehe 22 April jijini Dar.



Hata hivyo kutokana na hali ya taharuki waliokuwa nayo wasanii na watu wengi nchini kuhusu kifo cha mrembo agnesss masogange, ilishindika kuwa na shamra shamra nyingi kwa sababu hata baaada ya kufunga ndoa wasanii hao walionekana katika msiba kwa ajili ya kuaga mwili wa marehemu , shuguli iliyofanyika viwanja vya Leaders Club.




share this article to: Facebook Twitter Google+ Linkedin Technorati Digg
Posted by Slaustz, Published at April 23, 2018 and have 0 comments

No comments:

Post a Comment

close