"Moja ya kitu ambacho nakisubiri kwa hamu ni ndani ya Wasafi Tv ni reality show ya WCB Wasafi....wacha wamalize kutest signal zao wamwage maji tuoge kama kambale...... Na mnatujuaga siye hatujui kuficha yote mtayaona......''
Posted by , Published at May 08, 2018 and have
0
comments


No comments:
Post a Comment